FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hamasa ni muhimu ila football ni lazima iheshimiwa.

Football ina matokeo matatu, kushinda, kupoteza au kutoka sare.

Wote mnaokwenda uwanjani nendeni na matokeo haya, msiende na matokeo yenu mfukoni.
 
Khee atakuwepo habibi habibi
IMG-20240324-WA0716.jpg
 
Utakuwa msimu mbaya sana kwetu mashabiki wa Simba iwapo Yanga itavuka nusu na Simba kuishia tena robo. Nikiri tu kuwa, tutakuwa tumepanga nyumba iliyopo dimbwini msimu wa mvua. Ni kroooo kroooo.
 
Back
Top Bottom