Nina uhakika mimi hapa ningepata kucheza namba ya mzize ningekuwa nimefunga magoli mawili mpaka sasa, mzize kama foward kuna vitu kiufundi anavikosa
Mfano mwanzoni alipata mpira upande wa kulia akiwa sambamba na mabeki wawili akapiga mpira kipa akadaka, mimi naona alimalizia tu moove ilimradi lakini kiufundi angeingia upande wa kushoto alipo beki ili wagongane ajiangushe apate penati, au angemlazimisha yule beki amkwepe kuepusha penati hivyo angepata angle nzuri ya kupiga shuti kwa mguu wa kushoto kwakuwa anakuwa katikati ya goli.
Haya kuna goli la kuchop hapo ye kapiga chini wakati kipa ameshasogea mbele kaacha goli.