Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Goli moja bila pointi moja, magoli matano ni mapambio tu.Kimoja nacho kinatia mimba!πππ€ΈββοΈ
Hilo moja tu ni asante kipa maana kawazawadia goli gani la kufungwa lileLeo 5 zimekwama wapi [emoji196][emoji196]?
wamepona chupu chupu.Mkuu..,π€π€
Weuwee... Usiku huu ..Leo 5 zimekwama wapi πΈπΈ?
wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Alafu!?wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Hili Kono la nyani halikuwaacha salamaLeo 5 zimekwama wapi πΈπΈ?
Kupona chupu chupu ndio nini?. Kushinda 3 ndio point ngapi na kushinda 1 ni point ngapi?.wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Kwani kinyume na kunywa maziwa ni kuwa mlevi wewe utoh pollow?Sio kila mtu ni mlevi kama wewe zuwena
View attachment 2934573
AmesemajeHahhaa kajichanganya sana
Full time Yanga 1 Geita 1Game inaisha suluhu hii
Maanake ni circle haina mwisho π
GG Wana PesaLeo 5 zimekwama wapi πΈπΈ?
Yaani Yanga asipofunga mtu 5 inakuwa habari πππ Kweli yanga baba laoLeo 5 zimekwama wapi πΈπΈ?
Soma komenti za wenzako hapo juu.Yaani Yanga asipofunga mtu 5 inakuwa habari πππ Kweli yanga baba lao