Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Huyo mfalme wa nyika yupo nafasi ya ngapi kwa hii NBCPL?Ulipotaja 🦁 mfalme wa nyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mfalme wa nyika yupo nafasi ya ngapi kwa hii NBCPL?Ulipotaja 🦁 mfalme wa nyika
Maswali ya kitotoHuyo mfalme wa nyika yupo nafasi ya ngapi kwa hii NBCPL?
Kwa hiyo haya ndio majukumu? Kaa kwa kutulia dunduka mkubwa weweHUYU MBWA GOLI 3 NK ZINAMHUSU NIKO KWA WAKALA MASSAWE
Mtoto halali na hela.Maswali ya kitoto
Anahitaji point 5 zingine. Point 4 ni endapo ikitokea Azam kesho kafungwa dhidi ya Simba.Yanga akishinda atahitaji points 4 nyingine kutangaza ubingwa.
Mapema ndio saa ngapi?Mbona bado mapema au wenzetu mnalipwa mkianzisha nyuzi???
We jamaa umenichekesha sana.Hiki ndo kipimo cha watu wa hovyo tulio nao Afrika... nchi ina watu wa hovyo sijai ona!!
Itategemeana na matokeo ya kesho (Simba vs Azam). Huenda ikawa points 3 au 2.Yanga akishinda atahitaji points 4 nyingine kutangaza ubingwa.
Mungu awape Suluhu ingine🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Wamegombana kwani?Mungu awape Suluhu ingine
Mnafungwa leooooWazee wa Kupeleka Motoo...!🔥💚💛🤸
Wewe ndio MTU SASA naamini dua itafanya kaziNaitakia yanga kipigo cha goli 3
Nitakupasua😎Mnafungwa leoooo
Garasa gede hafungi
Nimeweka 10000 Kama mkishindaNitakupasua😎
Yup tatu tu zinatosha zisipungue wala kuongezekaWewe ndio MTU SASA naamini dua itafanya kazi
Hiyo elfu 10 nitumie kabisa sababu kushinda lazimaaNimeweka 10000 Kama mkishinda
Hiyo elfu 10 nitumie kabisa sababu kushinda lazimaa