Baada ya kutoa story yako ya jkt, umechachuka balaa.Wazee wa Kupeleka Motoo...!π₯πππ€Έ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kutoa story yako ya jkt, umechachuka balaa.Wazee wa Kupeleka Motoo...!π₯πππ€Έ
Wewe ni id ya 3 kuniambiaπBaada ya kutoa story yako ya jkt, umechachuka balaa.
Kisheria document ikishafutwa futwa haiko valid. Mtego uko kwenye hiyo pView attachment 2984189nimeweka ahadi
Tunapenda sana.Wewe ni id ya 3 kuniambiaπ
Kwahiyo hampendi nifurahi?
Nimemwambia mimi hiko kiapo sijui mkataba hautohesabikaKisheria document ikishafutwa futwa haiko valid. Mtego uko kwenye hiyo p
Hata mimi sijui kwanini nimerandukaTunapensa sana.
Ila kabla ulikuwa mpole sanaπ
Anajaribisha wachezaji wa msimu ujao chief.Gamondi kaanza ku complicate mambo pasipo sababu za msingi, kama lomalisa na kibabage wote wapo fit kwanin unawaweka bench unamuanzisha mtu ambae sio natural position yake?
Job kiungo, mudathir na sureboy wapo benchi
Ila naamini anajua kuliko Mimi ngoja tuone ana plan gani
We hujiulizi maneno mengine kaandika vizuri sana yanasomeka. Kufika kwenye p kaifuta futaπNimemwambia mimi hiko kiapo sijui mkataba hautohesabika
Ananidanganya mchana kweupeee
Kila la heri wananchi.π°πππππ ππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Young AfricansπKagera sugar FC
π 08.05.2024
π Azam complex
π01:00 usikuView attachment 2984485
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar View attachment 2984758
Ila umependeza sana uandishi wako baada ya ile story. Hongera πHata mimi sijui kwanini nimerandukaππ€Έ
All the Best Timu ya Wananchi.π°πππππ ππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Young AfricansπKagera sugar FC
π 08.05.2024
π Azam complex
π01:00 usikuView attachment 2984485
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar View attachment 2984758
Kumbe najua kuandika!πIla umependeza sana uandishi wako baada ya ile story. Hongera π
Sana. Uko bright, unajitambua.Kumbe najua kuandika!π