FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

Gamondi kaanza ku complicate mambo pasipo sababu za msingi, kama lomalisa na kibabage wote wapo fit kwanin unawaweka bench unamuanzisha mtu ambae sio natural position yake?

Job kiungo, mudathir na sureboy wapo benchi


Ila naamini anajua kuliko Mimi ngoja tuone ana plan gani
 
Tuko hapaa...
πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›
 
Anajaribisha wachezaji wa msimu ujao chief.
 
Nimemwambia mimi hiko kiapo sijui mkataba hautohesabika
Ananidanganya mchana kweupeee
We hujiulizi maneno mengine kaandika vizuri sana yanasomeka. Kufika kwenye p kaifuta futa😁
 
All the Best Timu ya Wananchi.
#daimambelenyumamwiko#
 
Kumbe najua kuandika!πŸ˜‚
Sana. Uko bright, unajitambua.
Ila sijakuelewa tu unaposema dini ni uongo🀭
Au basi tuangalie boli inatembea, guedeeeee, namna ganu palee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…