ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Yanga wananifanya nitamani niende kuvaa jersey niingie uwanjani kipindi cha pilihapa mbinu ni hii..
hakuna kuachia mchezaji fulani ndo afunge!,tuhakikishe tunapata goli kwanza then ndo tutengeneza nafasi za mtu fulani fulani kufunga.
pili tuhakikishe tunawasakama Kagera kwenye box yao kulazimisha wafanye makosa...
tatu kipa apewe mashuti yamaana halafu kuwe na mchezaji anamzonga kipa ili akitema tu chupa ndani! huyu kipa anatema sana anahuo udhaifu.