uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
njaaYanga itashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njaaYanga itashinda
Ngapi ngapi?Madaktari wanaleta usumbufu
Asante kwa Updates.🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usikuView attachment 2984485
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
View attachment 2984758
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya 10
0-0
dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside
dakika ya 15
0-0
dakika ya 20
yanga sc wanapata kona
dakika ya 22
kagera sugar wanapata freekick chirwa kazchezewa madhambi wamepiga wamekosa
dakika ya 25
max kakosa goli la waziii bado ni
0-0
dakika 29
mpira umesimama kipa wa kagera sugar kaumia
dakika ya 31
kagera sugar wametengeneza nafasi chirwaaaaa anakosa nafasi ya wazi kabisaa
dakika ya 35
0-0
dakika ya 37
aziz k anakosa nafasi ya wazii
dakika ya 41
chirwaa amechezewa madhambi
dakika ya 43
pacomeee kakosa nafasi ya wazi
dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 0-0 Kagera Sugar
View attachment 2984829
kipindi cha pili kimeanza
dakika ya 46
0-0
dakika ya 50
aziz k kafanyiwa madhambi kwenye boxi la kagera sugar anaenda kupiga mpiraa aiyaa amekosaa kagongesha mwamba chini kulia hapa
dakika ya 55
0-0
Haha wamezingua kinoma,wanastaili red cardHivi hawa madaktari zimo?😅
Wivu unauaaaWatu wanarukaruka tu halafu kujifaragua tu si akubwa si akubwa ,mamamke
Ngoja sasa hv utasikia penati au mkubwa anapewa goli la ajabu
NaitunzaTunza hii
Ametupia?Pacooomeeeeeeee
We utaona tu,sasa hv chuma.cha ajabu kitaingiaWivu unauaaa
0:0 Dakika ya 60Ngapi ngapi?
Goli la ajabu waliporwa Tabora.Watu wanarukaruka tu halafu kujifaragua tu si akubwa si akubwa ,mamamke
Ngoja sasa hv utasikia penati au mkubwa anapewa goli la ajabu
Wanajisakama kama Upepowanamsakama nani
naunga mkono hojaFarid game imemkataa angeingia Lomalissa
Au sio??Goli la ajabu waliporwa Tabora.
Burudani!0:0 Dakika ya 60
🤣🤣🤣Au sio??
Sio lile,walilonyimwa Kagera?
Sasa hv litaingia goli la ajabu,tupo hapa