FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

Watu wanarukaruka tu halafu kujifaragua tu si akubwa si akubwa ,mamamke

Ngoja sasa hv utasikia penati au mkubwa anapewa goli la ajabu
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usikuView attachment 2984485

Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar


View attachment 2984758
mpira umeanza

dakika ya 5
0-0

dakika ya 10
0-0

dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside

dakika ya 15
0-0

dakika ya 20
yanga sc wanapata kona

dakika ya 22
kagera sugar wanapata freekick chirwa kazchezewa madhambi wamepiga wamekosa

dakika ya 25
max kakosa goli la waziii bado ni
0-0

dakika 29
mpira umesimama kipa wa kagera sugar kaumia

dakika ya 31
kagera sugar wametengeneza nafasi chirwaaaaa anakosa nafasi ya wazi kabisaa

dakika ya 35
0-0

dakika ya 37
aziz k anakosa nafasi ya wazii

dakika ya 41
chirwaa amechezewa madhambi

dakika ya 43
pacomeee kakosa nafasi ya wazi

dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 0-0 Kagera Sugar
View attachment 2984829

kipindi cha pili kimeanza

dakika ya 46
0-0

dakika ya 50
aziz k kafanyiwa madhambi kwenye boxi la kagera sugar anaenda kupiga mpiraa aiyaa amekosaa kagongesha mwamba chini kulia hapa

dakika ya 55
0-0
Asante kwa Updates.
 
Back
Top Bottom