Yanga wananifanya nitamani niende kuvaa jersey niingie uwanjani kipindi cha pilihapa mbinu ni hii..
hakuna kuachia mchezaji fulani ndo afunge!,tuhakikishe tunapata goli kwanza then ndo tutengeneza nafasi za mtu fulani fulani kufunga.
pili tuhakikishe tunawasakama Kagera kwenye box yao kulazimisha wafanye makosa...
tatu kipa apewe mashuti yamaana halafu kuwe na mchezaji anamzonga kipa ili akitema tu chupa ndani! huyu kipa anatema sana anahuo udhaifu.
wanamsakama naniKusakama wanakusakama
Huyu kipa udhaifu wake mkubwa ni mashuti makali naona anatema sanahapa mbinu ni hii..
hakuna kuachia mchezaji fulani ndo afunge!,tuhakikishe tunapata goli kwanza then ndo tutengeneza nafasi za mtu fulani fulani kufunga.
pili tuhakikishe tunawasakama Kagera kwenye box yao kulazimisha wafanye makosa...
tatu kipa apewe mashuti yamaana halafu kuwe na mchezaji anamzonga kipa ili akitema tu chupa ndani! huyu kipa anatema sana anahuo udhaifu.
mh! ningekujibu sema Acha nikustiri bichwa langu nalijua mwenyewe nilivyowaza huku! ingekuwa pm ningekujibu ili kama utakasirika uniparue hukohuko...😂😂Yanga wananifanya nitamani niende kuvaa jersey niingie uwanjani kipindi cha pili
NjaaHii game ngumu ila Yanga atashinda
kwa updates zaidii fuatalia post number 1 mkuuNgapi hukoo?
Tulia wewe😂Njaa
Tulia wewe😂kwani natingisha chombo
Uto mnasakamanawanamsakama nani
Tunza hiiNjaa
🤣🤣🤣Guede nipo hapa nakuombea!