EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
Kufaaaaaa 🤣🤣🤣Wameotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufaaaaaa 🤣🤣🤣Wameotea
Soma ubaoClear Offside
Naitwa KAGERA mwana wa SUGAR Kutoka MAKONGOLOSI CHUNYA MBEYA naitakia kagera sugar draw au ushindi wa 1 bila 😊😊😊🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usikuView attachment 2984485
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
View attachment 2984758
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya 10
0-0
dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside
dakika ya 15
0-0
dakika ya 20
yanga sc wanapata kona
dakika ya 22
kagera sugar wanapata freekick chirwa kazchezewa madhambi wamepiga wamekosa
dakika ya 25
max kakosa goli la waziii bado ni
0-0
dakika 29
mpira umesimama kipa wa kagera sugar kaumia
dakika ya 31
kagera sugar wametengeneza nafasi chirwaaaaa anakosa nafasi ya wazi kabisaa
dakika ya 35
0-0
dakika ya 37
aziz k anakosa nafasi ya wazii
dakika ya 41
chirwaa amechezewa madhambi
dakika ya 43
pacomeee kakosa nafasi ya wazi
dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 0-0 Kagera Sugar
View attachment 2984829
kipindi cha pili kimeanza
dakika ya 46
0-0
dakika ya 50
aziz k kafanyiwa madhambi kwenye boxi la kagera sugar anaenda kupiga mpiraa aiyaa amekosaa kagongesha mwamba chini kulia hapa
dakika ya 55
0-0
dakika ya 59
yanga wanakosa nafasi ya wazii hapa mechi imesimama mchezaji wa kagera sugar kaumia
dakika ya 62
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka job anangia mzize
dakika ya 66
0-0
dakika ya 70
yanga sc wanakosa nafasi ya waziii guede anakosa hapa
dakika ya 73
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka pacome anaingia mudathir anatoka farid anaingia lomalisa
dakika ya 76
yanga anakosa nafasi ya wazi
🤣🤣🤣 Kinakuuumaaa eeeeSio goli
Cha puaChumaaa...
Clear Offside
Kwa taabu sana. Alikosea upangaji wa timuHakuna droo hapa, yanga wanashinda
Jini limepewa uji walilisahau wakaenda uwanjani bila kuliachia msosi.Nani ajitolee kuzimia? jamaa wapate goli 🤣🤣🤣
VAR ikianza mnashuka daraja 🤣🤣🤣Soma ubao
TFF hao Yanga 1-Kagera 0 dakika 81🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usikuView attachment 2984485
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
View attachment 2984758
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya 10
0-0
dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside
dakika ya 15
0-0
dakika ya 20
yanga sc wanapata kona
dakika ya 22
kagera sugar wanapata freekick chirwa kazchezewa madhambi wamepiga wamekosa
dakika ya 25
max kakosa goli la waziii bado ni
0-0
dakika 29
mpira umesimama kipa wa kagera sugar kaumia
dakika ya 31
kagera sugar wametengeneza nafasi chirwaaaaa anakosa nafasi ya wazi kabisaa
dakika ya 35
0-0
dakika ya 37
aziz k anakosa nafasi ya wazii
dakika ya 41
chirwaa amechezewa madhambi
dakika ya 43
pacomeee kakosa nafasi ya wazi
dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 0-0 Kagera Sugar
View attachment 2984829
kipindi cha pili kimeanza
dakika ya 46
0-0
dakika ya 50
aziz k kafanyiwa madhambi kwenye boxi la kagera sugar anaenda kupiga mpiraa aiyaa amekosaa kagongesha mwamba chini kulia hapa
dakika ya 55
0-0
dakika ya 59
yanga wanakosa nafasi ya wazii hapa mechi imesimama mchezaji wa kagera sugar kaumia
dakika ya 62
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka job anangia mzize
dakika ya 66
0-0
dakika ya 70
yanga sc wanakosa nafasi ya waziii guede anakosa hapa
dakika ya 73
yanga sc wanafanya mabadiliko anatoka pacome anaingia mudathir anatoka farid anaingia lomalisa
dakika ya 76
yanga anakosa nafasi ya wazi
dakika ya 81
mudaaaathiiirrr goooooaaal
Amka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubao unasoma 0-0
Vipi hapo kwemaClear Offside
🤣🤣🤣Jini limepewa uji walilisahau.