FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Matheo Anthony kapiga shuti lingine limeenda nje ya lango
 
Atayefungwa hapa sidhani kama ataweza kusawazisha
 
Job
Mauya
Farid
Bigirimana
Azizi Kii

Anapoteza
 
Ifike wakati tuthamini wachezaji wetu wa ndani kuliko kuwapa ukubwa foreigner ambao wana viwango vya msimu

Yes namzungumzia huyo huyo Azizi ki uliye mfikiria
 
Kwa mpira huu Club Africain imeshaingia makundi😅
 
Dakaki ya 73'

Yanga 0-0 KMC

Mpira unagonga mwamba paleee

KMC wanapata faulo
 
Makambo aliruka header moja hatari lakini ikagonga mwamba
 
Back
Top Bottom