FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Sijui ni mwana Yanga gani aliyeangalia hii game na akawa ameridhishwa na kiwango alichokionesha Azizi Ki leo?
 
Sijui ni mwana Yanga gani aliyeangalia hii game na akawa ameridhishwa na kiwango alichokionesha Azizi Ki leo?
Ukiwa na chuki na mtu utaona mapungufu/madhaifu yake tu,..mkuu utateseka sana na Aziz Ki na bado! Assist ya goli katoa nani? Mafree kick kama yote je..? Yule fundi mzee narudia hakuna mchezo Bongo kama Aziz ki.
 
Ni muda muafaka wa Yanga kumpa DOGO FEI makataba wenye kuonesha thamani yake halisi.

Mkataba utakao onesha ni kiasi gani yeye ni mtu muhimu sana klabuni pale.

Tena huyu wa kwetu tumepika wenyewe

Sio tunaiimport wahuni wa huko afrika magharibi na Hawa deliver vya kutosha
Mi binafsi huwa nawazaga hivi mtu aliyewasajili Morrison, Kumrudisha Tuisila, Yule Mrundi na kumbakisha Makambo kisha kumtoa Yacoub sijui aliwaza nini?
 
Back
Top Bottom