FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Mwisho wenu ni Hapa Hapa, Yaani Wa Hapa Hapa....!

Hata Ukioga mjini Huendi ..!!!
 
Kmc walivyokua wanapeana pass mpk raha.
Ila mmeona mayele asipokuwepo timu ina jiachia yoyote anaweza kufunga..yule virasta anawavimbia wenzie..leo Aziz ufunguo kafunguka anacheza unaona kabisa... makambo unamuona sema ndo hivyo hana bahati.
 
ĶMC gari letu limeshawaka. Ni mwendo wa kukusanya point tatu kwa kila mbwa aliyeko mbele yetu. Gemu zote ngumu tumeshamaliza zilizobaki zote laini tu kwetu
.
JamiiForums-1804407804.jpg
 
Yanga tutaenda nao sambamba msimu huuu tutawashinda kwa magoli yani hivi vimoja moja vyao hivi hiiiiiii
 
Mwisho wenu ni Hapa Hapa, Yaani Wa Hapa Hapa....!

Hata Ukioga mjini Huendi ..!!!
Yamekuwa hayo tena? Unaendaje kimataifa bila kushinda ligi ya nyumbani? hizi ni chuki za kifala sana.

Kakojowe ukale usubiri Azzam kesho mpambane na hali yenu, sisi tunaongoza ligi tupo kileleni.
 
Hahaaa eti kikosi cha pili hahaaa uwiii mbavu zangu mieee
 
Yaani mlitegemea kabisa mateo antony na edrew Vincent waizue yanga isishinde wakati wale ni watoto wa nyumbani
 
Kesho mnashushwa kileleni na wazee wa kazi wana lunyasi wazeee wazee wa mabao mengi mengi
 
Kmc walivyokua wanapeana pass mpk raha.
Ila mmeona mayele asipokuwepo timu ina jiachia yoyote anaweza kufunga..yule virasta anawavimbia wenzie..leo Aziz ufunguo kafunguka anacheza unaona kabisa... makambo unamuona sema ndo hivyo hana bahati.
Usisahau kesho kazi mnayo
 
Hicho ni kikosi cha Pili Kolo Waved wewe, subiri kesho Azzam mpambane na hali yenu, sisi tumeshatia kibindoni point 3 na tunaongoza ligi.

Nani apingile?
Kweli nyie ni majuha,kwa hiyo Mayele ndiyo first eleven,asipokuwepo tu waliobakia wote ni kikosi cha pili.
 
Back
Top Bottom