FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Dakika ya 75'

Yanga 0-0 KMC

KMC wanamiliki mpira

Matheeeeeeeeo
Diara anadaka mpira pale
 
Matheo Anthony anapiga shuti lakini Diarra anaunyaka
 
Dakika ya 76'

Yanga 0-0 KMC

Mauya
Ibrahim
Bangala
Job

Kijiri
Mauya
Farid
Fei
Bigirimaaaaana
Mpira unatoka pale

Goal kick
 
Bigiriminyama kapiga offtarget shuti la mbali kutoka katikati ya uwanja
 
Job
Njere
Mauya
Moroko

Ame anatoa mpira
 
Matheo
Daluweshiiii

Diarra anadaka

Fei
Azizi Ki
Mauya
Moroko
Azizi Ki
Nkane

Feiiiiiii
Goooooooalllll
 
Dakika ya 80'

Yanga 1-0 KMC

Feisal Salum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…