FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Why yelling' on me, what the fuc**k is this!? anyways, i cant reciprocate this sht, your level of thinking is too low!
 
Hivi kudanganya kuwa wewe ni Yanga unapata faida gani?
Ni vyema kila mmoja afanye tathmini ya timu yake, kama mpira anaocheza Yanga ni ushindi wa bahati sijui ushindi wanaopata timu yako ya Simba utaitwa ni ushindi wa aina gani. Nimejiridhisha pasi na shaka kuwa wewe ni shabiki wa Simba.
 
Kwaiyo timu yako ikifungwaa ni kosa kusema imefungwa! ivi mbona mnafanya ushabiki kuwa kama utumwa??sisi wengine hatuko ivo.

Watu mnafanya mpira kama ugomvi, kwanini? naomba uendelee kusoma nyuzi zangu, alafu ulete wapi nimesema mimi ni simba.
 
Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
Kibu Denga huyu huyu aliyekosa goli la wazi dhidi ya timu ya Zambia na kupaisha mpira juu akiwa yeye na Golikipa?

Aden Rage apewe u-Dr wa heshima kwa kuwaita Mashabiki Simba FC Mbumbumbu [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
Watu wengine mpira sio fani zenu mna ng'ang'ania tu
 
Akili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.
Real Madrid naye jana alicheza nyumbani UEFA CHAMPIONS LEAGUE akashinda 1-0 dhidi ya timu underdogs kwenye hiyo ligi.

Real Madrid nayo itasema ukweli, au Aden Rage aendelee kuheshimiwa kwa ile kauli yake [emoji848][emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo timu yako ikifungwaa ni kosa kusema imefungwa! ivi mbona mnafanya ushabiki kuwa kama utumwa??sisi wengine hatuko ivo.

Watu mnafanya mpira kama ugomvi, kwanini? naomba uendelee kusoma nyuzi zangu, alafu ulete wapi nimesema mimi ni simba.
Hakuna kosa ila kosa lako lipo hapa nakunukuu "ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu."

Hapo ulipojumuisha wewe kwenye kundi la Yanga wakati wewe ni Simba. Huo ni unafiki, hata maoni yako yanakuwa batili kwasababu yametolewa na mtu mnafiki, kwanini haujiamini na usimba wako? Kwani ungetoa maoni na uhalisia wako wa usimba wako ungepungukiwa na nini?
 
Uliona wapi timu yoyote duniani kama Makolokolo ikibebwa kwa viporo vitano vyote vya TZ PL?

Ambatanisha ushahidi hapa, la sivyo jipige kifuani mara 3 ukijiita Mbumbumbu pro max [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia tafuta thread ambayo nimesema mimi ni simba, ilete hapa.

Niko huru kwenye kutoa maoni, kama umeumia kwa maoni yangu pole sana.

Jitahidi kuji control kwenye mambo ya mpira na usijikute unatoa lugha chafu kisa mtu amekuwa tofauti na mawazo yako!

Yanga na Simba umezikuta na utaziacha, haya mabishano ya humu na watu usio wajua hayakuongezei au kukupunguzia kitu, na wala hayabadili ukweli niliosema! vyovyote utakavyo nichukulia its ok.

Kuwa simba au yanga ni maamuzi ya mtu, wala usiyaingile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…