.Kauli ya mbumbumbu aliitoa aliyekuwa mwenyekiti wenu Ndugu Rageš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Kauli ya mbumbumbu aliitoa aliyekuwa mwenyekiti wenu Ndugu Rageš
Why yelling' on me, what the fuc**k is this!? anyways, i cant reciprocate this sht, your level of thinking is too low!Sasa ww Si ungejisema kua Ni kolo
Kwani ukisema kua ww Ni kolo utapungukiwa nn, mpaka ujifanye kua ww Ni mwananchi
Jiamini Kwanza halafu urudi na hoja zenye mashiko
Achana na ngonjera za timu dhaifu,Hakuna mashindano yasiyokua na timu dhaifu
Mnajitoaga Akili tu
Huko UEFA cl kuna timu dhaifu ,sembuse CAF cl
Hivi kudanganya kuwa wewe ni Yanga unapata faida gani?Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.
Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.
Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Kwaiyo timu yako ikifungwaa ni kosa kusema imefungwa! ivi mbona mnafanya ushabiki kuwa kama utumwa??sisi wengine hatuko ivo.Hivi kudanganya kuwa wewe ni Yanga unapata faida gani?
Ni vyema kila mmoja afanye tathmini ya timu yake, kama mpira anaocheza Yanga ni ushindi wa bahati sijui ushindi wanaopata timu yako ya Simba utaitwa ni ushindi wa aina gani. Nimejiridhisha pasi na shaka kuwa wewe ni shabiki wa Simba.View attachment 2756572
Kibu Denga huyu huyu aliyekosa goli la wazi dhidi ya timu ya Zambia na kupaisha mpira juu akiwa yeye na Golikipa?Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
Watu wengine mpira sio fani zenu mna ng'ang'ania tuYanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
[emoji419]Kibu Denga huyu huyu aliyekosa goli la wazi dhidi ya timu ya Zambia na kupaisha mpira juu akiwa yeye na Golikipa?
Aden Rage apewe u-Dr wa heshima kwa kuwaita Mashabiki wa Mbumbumbu [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unataka nikutafunie kila kitu siyo! Umekuwa ni kinda la njiwa wewe?Hayo matokeo anapata dhidi ya timu gani ?
Wasalimie hapo Marekani HollywoodWhy yelling' on me, what the fuc**k is this!? anyways, i cant reciprocate this sht, your level of thinking is too low!
Real Madrid naye jana alicheza nyumbani UEFA CHAMPIONS LEAGUE akashinda 1-0 dhidi ya timu underdogs kwenye hiyo ligi.Akili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.
Hakuna kosa ila kosa lako lipo hapa nakunukuu "ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu."Kwaiyo timu yako ikifungwaa ni kosa kusema imefungwa! ivi mbona mnafanya ushabiki kuwa kama utumwa??sisi wengine hatuko ivo.
Watu mnafanya mpira kama ugomvi, kwanini? naomba uendelee kusoma nyuzi zangu, alafu ulete wapi nimesema mimi ni simba.
Uliona wapi timu yoyote duniani kama Makolokolo ikibebwa kwa viporo vitano vyote vya TZ PL?Umeanza kurudiwa na akili.Bado lugha za pointi 3 na marathon.Ikishinda Simba tena kwa goli 4 na goli 2 ohh mpira mbovu hakuna cha marathon na pointi 3.Kupendelewa ndio kumefanya mshinde.Hakuna ligi duniani timu inacheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Unabisha itaje.Mnabebwa na vibahasha.Msimu uliopita mliacha pointi 4.Msimu huu pointi zote 6.
Bila kubebwa,na propoganda hawans timu hawa mwiko nyuma. Huu ni mwanzo tu pamoja na kigoli cha offside.
Yani unajieleza wewe mwenyewe na kujijibu kwenye 2 fake IDs [emoji1787]Hawana timu wala wachezaji wazuri ila ndo hivyo tu propaganda zina wabeba
Nimekuambia tafuta thread ambayo nimesema mimi ni simba, ilete hapa.Hakuna kosa ila kosa lako lipo hapa nakunukuu "ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu."
Hapo ulipojumuisha wewe kwenye kundi la Yanga wakati wewe ni Simba. Huo ni unafiki, hata maoni yako yanakuwa batili kwasababu yametolewa na mtu mnafiki, kwanini haujiamini na usimba wako? Kwani ungetoa maoni na uhalisia wako wa usimba wako ungepungukiwa na nini?
Ongeza sautiiiii huku nyuma hatusikiiiiMshinde wapi?
Mshinde nini?
Kweli wewe ni utopolo. Kwa hiyo humkumbuki Kibu Denga mlivyokandamizwa 2-0?Kibu Denga huyu huyu aliyekosa goli la wazi dhidi ya timu ya Zambia na kupaisha mpira juu akiwa yeye na Golikipa?
Aden Rage apewe u-Dr wa heshima hukukwa kuwaita Mashabiki Simba FC Mbumbumbu [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Golini kipa mnae kwanza? sio unaongea ongea tu?Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
Kwa hiyo humjui kipa mwenye clean sheet mbili mfululizo mlipocheza dhidi ya Mnyama?Golini kipa mnae kwanza? sio unaongea ongea tu?