Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Kutoka wazee wa 5G hadi kikubwa pointi 3 tutaelewana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebwinu mbwinu🤣🤣🤣🤣🤣
Umeskia wapKutoka wazee wa 5G hadi kikubwa pointi 3 tutaelewana tu.
Boko amesawazisha saivi mkuuKuna kusawazisha hapa
uelewane na nan wakati wewe unapigwa mechi ijayoKutoka wazee wa 5G hadi kikubwa pointi 3 tutaelewana tu.
Tulia wewe.Mgoli Wa Kupewa huu...
Ulibwino!?Kutoka wazee wa 5G hadi kikubwa pointi 3 tutaelewana tu.
Acha kufikiri Kila siku utakuta urojo urojo.. huko ndio kukuwa kwa mpira.Kutoka wazee wa 5G hadi kikubwa pointi 3 tutaelewana tu.
Ha ha ha yaani leo kilianza kikosi chenyewe lakini kimeshindwa kufurukutaKesho kwenye vipindi vya michezo utawasikia yanga hii imekamilika kila idara [emoji23][emoji23]