Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,637
- 8,214
Yule osimen wa kupakua mtandaoniKwa mshambuliaji yupi?
Yule osimen wa kupakua mtandaoniKwa mshambuliaji yupi?
Tabu sana mkuuMpaka mmutoe huyo osimen wa udongo aisee, unless hamtoboii
Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuoneFirst half tumezidiwa aisee.
Aahaaaa,inawezekana,kama mechi itaisha hvi hiviIla simba na Yanga, unakuta baada ya mpira kuna watu watashindwa hadi kula chakula na kula tena chakula kisa mpira tu.
zingatia neno: kula tena chakula 🔥🔥🔥
Watu ata kupiga hawapigi wanalazimisha mpaka waingie kwenye boxNimeangalia mechi za Simba za tangu RWANDA.....si team inayoingia ktk box kwa kasi ..na kwa mipango...
Mpira mwingi upo katikati na kurudisha kwenye defence na kipa...
Team pinzani ikaamua kukabia juu ..simba wanakosa madhara ..
wana uwezo mkubwa wa kulinda mpira na kudribbleWatu ata kupiga hawapigi wanalazimisha mpaka waingie kwenye box
Mkuu Nakubaliana na wewe.Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuone
Mi ni Simba. Wananikera hawa *******.mzee ndege mbona unapeleka moto sana, na wewe ni mwana yanga?
Haijawahi kutokeaWe will come back Stronger
Akili haziko mchezoni kabisaRushine nae pumba sana pale nyuma
Unawezaje ?Baada ya kuhamia yanga nimekuwa nikilala kwa amani kabisa dabi days
mtafanyaje sasa watu na mpira wenu, vumilieni tu mazuri yanakuja mbeleTabu sana mkuu
Anaitwa Albert KagwandaKafunga Nan?
Inasikitisha sana mkuu. Timu haina quality vyura wanatusumbua sijui Club bingwa itakuaje. Ngoja tuone.Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuone
Tunasikitika tu. Hakuna la kufanya zaidi ya hilo.mtafanyaje sasa watu na mpira wenu, vumilieni tu mazuri yanakuja mbele