win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
saivi yupo aiseeyuu😅😅vyura kama 10 hivi wameukamata ulimi wa simba dume kwa nguvu sana, pumzi zinamwishia simba hadi kakaa chini. Muda si mrefu atadondoka na kufa
saivi yupo aiseeyuu😅😅vyura kama 10 hivi wameukamata ulimi wa simba dume kwa nguvu sana, pumzi zinamwishia simba hadi kakaa chini. Muda si mrefu atadondoka na kufa
kwa furaha uliyo nayo na vicheko hivyo bila shaka na wewe uko huko VYURA FC sio?saivi yupo aiseeyuu😅😅
Kocha wa Yanga alisema Jana.Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuone
wazee wa pesa iko kwa bankKocha wa Yanga alisema Jana.
Udhaifu wa Simba ni backline yao.
Babu kausha shabikia ujinga wenu hukoWe kashabikie FC leopard ya Kenya a.k.a Ingwe.
Wewe timu ganiKocha wa Yanga alisema Jana.
Udhaifu wa Simba ni backline yao.
Nilisema siku ya SIMBA day...Kocha wa Yanga alisema Jana.
Udhaifu wa Simba ni backline yao.
mvumilieni bado hajazoea mazingiraHii kiazi imesajiliwa na watu wajinga kupita maelezo , siku simba mkiwa na uwezo wa kushindana na yanga naomba mnishtue🤣🤣🤣🤣
Huyo mwanaumeWanawake pekee ndo wanaweza hilo jambo mkuu maana wao penye pesa popote wapo na penye ushindi ndo wanaenda. kiongozi
Yanga toka nikiwa 10yrs hivi.Wewe timu gani
Huyo takataka tu , simba anafungwa tenamvumilieni bado hajazoea mazingira