alisikika mlevi mmojaNachopenda Yanga watarudi nyuma.
Tutarudisha bao
Chama leo alikuwa anaicost timu tu.Simba inaweza kuwa na wachezaji sio wazuri sana ila hata kocha ana matatizo. Wasipotafuta kocha wa kueleweka wasahau makombe, haiwezekani timu inacheza mpira haueleweki kisha unamuacha Oura unamtoa Chama
Pombe gani tena?Naona pombe imeanza kukukolea kichwani

Yanga imara yanga imara, simba makopo simba makopo. Pengine huu wimbo ndiyo ulinifanya niipende Yanga.Mjomba umeniwekea first eleven ya simba tu! Ya Yanga nayo iko wapi?
Kwani mimi Yanga?Mjomba umeniwekea first eleven ya simba tu! Ya Yanga nayo iko wapi?
aisee basi dozi uliyopewa haifanyi kazi, malaria inakuzidia kichwani. Wahi kwa daktariPombe gani tena?
Niko kwenye dozi
enhe?Mimi kama kawaida yangu
Unaongea kishabiki sanaaisee basi dozi uliyopewa haifanyi kazi, malaria inakuzidia kichwani. Wahi kwa daktari
Kwani so ndiyo Chama huyuhuyu aliyefunga goli la tiktak msimu uliopita!Chama leo alikuwa anaicost timu tu.
Sina upande wowote, sema naongea ili kuchangamsha game. Wanasimba mmepoa sana huku mkisubiri miujizaUnaongea kishabiki sana
Hii mechi si ya msimu uliopita boss.Kwani so ndiyo Cahama huyuhuyu aliyefunga goli la tiktak msimu uliopita!
Mkuu walikutumia sms SICA 😀Bora sijanunua Jez yao...Maana msimu Mzima ningeteseka kwa kikosi hiki Cha Udalali