Mkuu hapanaMkuu walikutumia sms SICA 😀
Mechi ngumu ila hata Yanga hawana timu banaHii mechi si ya msimu uliopita boss.
Yanga bingwa 1-0 FT mkuu nipe ata ya soda au wewe timu Gani TlaatlaahBingwa wa kuiba
hawana ili hali wameshindaMechi ngumu ila hata Yanga hawana timu bana
Yanga timu ipo ila haijaunganika vizuri wakipewa muda wanaweza kuwa fresh kidogoMechi ngumu ila hata Yanga hawana timu bana
Katapeli nnMo ni tapeli
Sahihi. Mbinu za kocha wao zilikuwa superb kabisa.! Tactically Yanga walikuwa bora sana leo kuliko Simba.Tukubali leo Yanga walikua bora kuliko sisi.
Yanga hawajafahamiana tu. Simba ina wachezaji Wazuri ila ni wadogo sana, sio kiumri ni kimaamuzi, tofauti na wachezaji wa Yanga.Mechi ngumu ila hata Yanga hawana timu bana
tuliza pressure mkuu, hali sio nzuri kabisa.Simba timu yangu ni taka taka mbele y yangu kutokona na uongozi wa kijnga , achieni ngazi nyie kina mo na kina mangungu , simba inauzika kimataifa kwa watu wenye akili timamu ya mpira