min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kama haitoki kwenuSimba inachekesha sana
Kama haitoki kwenuSimba inachekesha sana
yupo jukwaaniS. Mwl hayupo kwani
Subiri chemistry zisomane ndugu,mambo mazuri yanaandaliwa!Acha tuliokwisha kuwa na chemistry tuwaonyeshe!Hii kiazi imesajiliwa na watu wajinga kupita maelezo , siku simba mkiwa na uwezo wa kushindana na yanga naomba mnishtue🤣🤣🤣🤣
Ndio maana nikashangaa mbona nampenda titicomb kumbe ni mwanayanga mwenzanguYanga toka nikiwa 10yrs hivi.
mvumilieni bado hajazoea mazingira
Huyo ni Hafidh Konkon au Ikpe kizazi kipya.Hii kiazi imesajiliwa na watu wajinga kupita maelezo , siku simba mkiwa na uwezo wa kushindana na yanga naomba mnishtue🤣🤣🤣🤣
Hata iwe Biology au Book Keeping.. Simba SC bado sana Kwa YangaSubiri chemistry zisomane ndugu,mambo mazuri yanaandaliwa!Acha tuliokwisha kuwa na chemistry tuwaonyeshe!
akifungwa tatizo silinakua kwenye safu ya ulinzi mkuuHuyo takataka tu , simba anafungwa tena
AsieeHiyo timu ya upande wa pili hata wakiongezewa siku mbili wacheze hadi kesho kutwa kamwe hawawezi kupata goli lolote
Naona pombe imeanza kukukolea kichwaniNachopenda Yanga watarudi nyuma.
Tutarudisha bao
TlaatlaahHiyo timu ya upande wa pili hata wakiongezewa siku mbili wacheze hadi kesho kutwa kamwe hawawezi kupata goli lolote
sina maoni gentleman

Yanga wamekamata Dimba la katikati.Huyo takataka tu , simba anafungwa tena