FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Head to head za hivi karibuni yanga ni vibonde wetu.. Mechi ya kwanza ya ligi tuliwakula refarii akawaokoa, mechi ya pili ya ligi tuliwakula tena but tukafanya uzembe goli mbili wakarudisha na wakashangilia draw na sisi utafikiri wamebeba champions league... Tukakutana tena Muungano tukawakula kabisa.... Mechi ya leo tunawakula tena.
Wazee wa kulia lia. Refa aliwaokoaje?. Vipi lile goli alilokuwa Dube alibaki yeye na kipa?.

Ni kwa mashabiki wa mikia tu waliobaki duniani,refa akimaliza mpira wanahesabu goli lisilokiwemo kwenye idadi
 
Head to head za hivi karibuni yanga ni vibonde wetu.. Mechi ya kwanza ya ligi tuliwakula refarii akawaokoa, mechi ya pili ya ligi tuliwakula tena but tukafanya uzembe goli mbili wakarudisha na wakashangilia draw na sisi utafikiri wamebeba champions league... Tukakutana tena Muungano tukawakula kabisa.... Mechi ya leo tunawakula tena.
Refa akikataa unafunga lingine
 
Nimeangalia mechi za Simba za tangu RWANDA.....si team inayoingia ktk box kwa kasi ..na kwa mipango...
Mpira mwingi upo katikati na kurudisha kwenye defence na kipa...

Team pinzani ikaamua kukabia juu ..simba wanakosa madhara ..
 
Back
Top Bottom