FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

First half tumezidiwa aisee.
Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuone
 
Ila simba na Yanga, unakuta baada ya mpira kuna watu watashindwa hadi kula chakula na kula tena chakula kisa mpira tu.

zingatia neno: kula tena chakula 🔥🔥🔥
Aahaaaa,inawezekana,kama mechi itaisha hvi hivi
 
Nimeangalia mechi za Simba za tangu RWANDA.....si team inayoingia ktk box kwa kasi ..na kwa mipango...
Mpira mwingi upo katikati na kurudisha kwenye defence na kipa...

Team pinzani ikaamua kukabia juu ..simba wanakosa madhara ..
Watu ata kupiga hawapigi wanalazimisha mpaka waingie kwenye box
 
Mkuu Nakubaliana na wewe.
 
Hii mechi kama tutafungwa lawama napeleka kwa wachezaji wana hold sana mpira bila sababu za msingi hasa winga na baada ya dk 25 wakaanza kukabia macho.
 
Inasikitisha sana mkuu. Timu haina quality vyura wanatusumbua sijui Club bingwa itakuaje. Ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…