FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Wazee wa kulia lia. Refa aliwaokoaje?. Vipi lile goli alilokuwa Dube alibaki yeye na kipa?.

Ni kwa mashabiki wa mikia tu waliobaki duniani,refa akimaliza mpira wanahesabu goli lisilokiwemo kwenye idadi
 
Refa akikataa unafunga lingine
 
Nimeangalia mechi za Simba za tangu RWANDA.....si team inayoingia ktk box kwa kasi ..na kwa mipango...
Mpira mwingi upo katikati na kurudisha kwenye defence na kipa...

Team pinzani ikaamua kukabia juu ..simba wanakosa madhara ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…