FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Hivi kuna app yoyote naweza kucheki hii mech live kupitia simu?
 
Hivi DSTv ndio hawaonyeshagi hizi mambo?
 
Tukutane hapa saa Moja Usiku...

Waliaji na washangiliaji wote turudi humu baada ya Mechi. Hii Mechi imebeba zaidi hatima ya Kocha Nasreddine Nabi (Professa feki) kuliko Juma Mgunda (Guadiola Bonge).

Simba wameshapunguza Presha ya mchezo kwa kujiweka nafasi ya kufungwa wakati Yanga wao wamejiweka kwenye nafasi ya kushinda kutokana na Historia mbovu ya Simba mbele ya Yanga kwa miaka mitano iliyopita.

Matokeo yake Simba ikifungwa hakutakuwa na la ajabu, wakati Yanga ikifungwa Nabi atakumbushiwa na Zigo la kutolewa Klabu Bingwa Afrika. Kiuhalisia Simba wameshaishinda vita ya Kisaikolojia kwa asilimia mia, wakati Yanga Presha iko juu 220/110. Yanga Ikifungwa lazima watu wapigwe Stroke leo!!
 
Umeandika mikojo mitupu kama ulivyo ubongo wako uliojaa mafilifili kima wewe
 
Hapo ndipo Mungu anapoonyesha uweza wake, haujui siku wala saa utakaposhinda au kupata kichapo, just wait and see.
Wapinga Mungu wanasema mambo yote hutokea kwa sababu na si kwa kudra ya Mungu. Ila wao hata hawajui nani atafungwa ama kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…