FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Eti Nabi Out!, Who Told You?
Nawajua Utopolo tangu walipomng'oa meno Sahau Kambi. Siyo watu aisee!!

Kipa Sahau Kambi aliichezea Yanga kwa umahiri mkubwa hadi akafanikiwa kutwaa nafasi katika kikosi cha timu ya Taifa - Taifa Stars. Hata hivyo umahiri wa Kambi uliingia dosari mwaka 1988 katika mechi ya mwisho ya ligi kati ya Simba na Yanga ambapo wapenzi wa Yanga walimtuhumu kuiachia Simba kupata bao la ushindi lililofungwa na John Makelele. Simba ilishinda 2-1, ushindi ambao uliiokoa Simba kutoshuka daraja.
 
Thread imeanzishwa Saa SITA usiku?kwani kuna mashindano ya kuwahi anzisha thread hizi?
Acha kukariri maisha, unadhani watu wote wako Tanzania au saa sita wanakuwa wamelala ? Kama ni mashindano ungeanzisha wewe

Sit back and Relax acha wivu wa KIKE/Makasiriko kwa mwanaume mwenzako
 
Mgunda kavaa jeans ileile, utopolo kwisha habari yenyu
 
mmasai na sime..
IMG_20221023_154800~2.jpg
 
Back
Top Bottom