FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Sijui ni Kadi za Njano.

Simba Wanatudharau sana Mashabiki hawatoi Taarifa za Kueleweka hadi tufungwe ndio waje na Taarifa
Brother mimi Yanga ila shughuli ya Kanoute na ikubali, ubora wa Mzamiru ktk mechi ya hivi karibuni imechangiwa na Kanoute, jamaa ni yupo vizuri kwa upande wa kukaba na kushambulia.
 
3' Okrah anaangushwa na Aucho.. faulo inapigwa inatoka nje
 
Back
Top Bottom