FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Mzamiru kacheza vizuri saana sema hanaga bahati na derby 😅😅😅...

Hii ni derby ya 3 au ya nne jamaa anachomesha

👉ya balama mapinduzi
👉feisal
👉leo....

Bado naiona simba ikipata goli la 2
 
Back
Top Bottom