Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa lile shuti la Aziz Ki na kwa jinsi Manula alivyojaribu kunyooka hewani bila mafanikio na kutua chini kama kiroba cha mawe, nina wasiwasi mkubwa sana huenda Manula kuna mbavu zitakuwa zimevunjika.