FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Mzamiru kacheza vizuri saana sema hanaga bahati na derby [emoji28][emoji28][emoji28]...

Hii ni derby ya 3 au ya nne jamaa anachomesha

[emoji117]ya balama mapinduzi
[emoji117]feisal
[emoji117]leo....

Bado naiona simba ikipata goli la 2
Hakuna goli ambali liliniuma kama lile la Balama Mapinduzi, nakumbuka tulikuwa tumetangulia kwa goli 2 za harakaharaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ule mgoli wa Aziz K una unaweza ukasema kua Uprojectile Umotion au Ucircular Umotiona au Rotational Dynamics fulani.

Au ngojea tuwachie Wafizikia kudadadeki.
 
Hivi wadau mbona aucho ni kama ana njano mbili
 
Azizi Ki alivyoshangilia kamyooshea kidole cha poa Eng Hersi jukwaani na yeye kajibu ,Hersi anafurahia sana akishinda Azizi Kukilo mchezaji yeyote pale Yanga nimeona hata ile mechi ya ligi kuu.
 
Hapa sasa safi burudani kabisa wanaomsemaga kawafunga leo.
Huu ni upepo wa msimu mtamsahau kama mlivyo msahau Balama mapinduzi

Nimeshuhudia mara nyingi hawa wachezaji mnao wapa ukubwa kwasbabu wamemfunga Simba hawajawahi kuwa na mwisho mzuri hapo klabuni.
 
Back
Top Bottom