muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Mikia imechomekwaVyura wamechomoa asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia imechomekwaVyura wamechomoa asee
Hakuna goli ambali liliniuma kama lile la Balama Mapinduzi, nakumbuka tulikuwa tumetangulia kwa goli 2 za harakaharaka.Mzamiru kacheza vizuri saana sema hanaga bahati na derby [emoji28][emoji28][emoji28]...
Hii ni derby ya 3 au ya nne jamaa anachomesha
[emoji117]ya balama mapinduzi
[emoji117]feisal
[emoji117]leo....
Bado naiona simba ikipata goli la 2
Kwa hiyo hii ni over 2.5 🤣🤣🤣🤣Wale wenzangu wa GG tukutane kwa wakala 🤑🤑
Sasa tumalize mchezo kwa kuua hawa pimbi yanga
[emoji23][emoji23][emoji23]mbaya zaidi kawafunga msio mpendaSubiri mkuu leo ndo mwisho wenu ile ilikua faulo tuu sio goli la kulisotea
Mshinde bwana leo nipo hapa nje taifa nasubiria nikamatie mrembo wa simba nikamgegedeGame simba imetawala
Na kuja kutokea tena ni mpaka upinzani wapate uraisi(HAITOTOKEA)Hilo shuti halijawai tokeaa Toka mfumo wa vyama vingi kuanzishwaa Hapa nchin
Utawapata Yanga walionyong'onyea leo hahahahMshinde bwana leo nipo hapa nje taifa nasubiria nikamatie mrembo wa simba nikamgegede
Ila lile hapana, limepigwa kiufundiYani goli la faulo ndo mnapiga nalo debe. Kubalini mmezidiwaaa.
Achana nao malimbukeni tuYani goli la faulo ndo mnapiga nalo debe. Kubalini mmezidiwaaa.
Huu ni upepo wa msimu mtamsahau kama mlivyo msahau Balama mapinduziHapa sasa safi burudani kabisa wanaomsemaga kawafunga leo.
Over 2.5 uhakika weka mbupu zote mbiliKwa hiyo hii ni over 2.5 🤣🤣🤣🤣