New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Goli bora la caf KumbukaSakho kipindi cha pili asirudi mpuuzi sana huyu dogo.
😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli bora la caf KumbukaSakho kipindi cha pili asirudi mpuuzi sana huyu dogo.
Aziz kamuendesha sana Hersi kwenye kumsajili.Ila bado ni hasara kimataifa aonyeshi kilicho bora kwasababu yupo timu ya wazee wengi ni vibabu.Azizi Ki alivyoshangilia kamyooshea kidole cha poa Eng Hersi jukwaani na yeye kajibu ,Hersi anafurahia sana akishinda Azizi Kukilo mchezaji yeyote pale Yanga nimeona hata ile mechi ya ligi kuu.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo shuti halijawai tokeaa Toka mfumo wa vyama vingi kuanzishwaa Hapa nchin
Kaonewa jmaa kaanguka mwenyewe.Israh mwenda kapewa njano
Stephanie Aziz ki=Stephan CurryHilo goal kwenye Basketball ni matatu nje ya D.......