FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Profesa Nabi, kwa heshima yangu naomba umpumzishe Tuisila Kisinda. Halafu nafasi yake mpe Sure Boy kama yupo, au Farid Mussa.

Naona kama hajaingia vyema kwenye mfumo wako.
 
Azizi Ki alivyoshangilia kamyooshea kidole cha poa Eng Hersi jukwaani na yeye kajibu ,Hersi anafurahia sana akishinda Azizi Kukilo mchezaji yeyote pale Yanga nimeona hata ile mechi ya ligi kuu.
Aziz kamuendesha sana Hersi kwenye kumsajili.Ila bado ni hasara kimataifa aonyeshi kilicho bora kwasababu yupo timu ya wazee wengi ni vibabu.
 
Hongereni utopolo lile golini hakuna namna Manula mpira angeufuata.
 
46' Israel Mwenda anaoneshwa kadi ya njano kumuangusha Kisinda
 
Kisinda anawekwa chini pale

Mwenda anapewa njano
 
Thisi izi thimba
JamiiForums1355179153.jpg
 
47' Yanga wanapata kona hapa kuelekea Simba, inapigwa na Azizi Ki inaenda nje
 
Back
Top Bottom