FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Sijapentaaa kwakweli ni kama wanalazimisha sare
 
Koooona

Dakika ya lala salama

Manura anapangua
 
Chama

Zimbwe
Djuma Shaban

Mpira wa kurusha

93'

FT

Yanga 1-1 Simba
 
Hawa wanga sana aisee kila mechi na Simba wanaenda kutoa misaada mbona kwny kimataifa hawaendi kutoa?
 
Back
Top Bottom