FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Simba wangese sana, yaani wamekosa magoli kipumbavu pumbavu mpaka wamecost timu
 
Mkuuu nimekubari [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwa hii sare waliyopata Simba mji hautakalika, Sare ya kufedhehesha kabisa.
 
Timu zanu vibonde zimetoka droo

Sakho na Azizi k imekuaje mkaja kucheza timu za hovyo?
 
Hiii mechi ilikua yetu jamani ni wapa hawa wanatulogea twende na sisi?.
 
Kusema bila Ile faul yanga Leo mngelala bila kuoga
 
Wewe ni mjinga ina maana simba alikuwa hazitaki hizi point 3?
Simba hakusema kama anatumia hii mechi kujipima kimataifa,bali Uto ndo walisema hivyo kupitia msemaji wao ndugu Ally Kamwe.
Na baada ya Yanga kutolewa kimataifa waliaminishwa na uongozi wao kwamba wanakuja kuwafunga Simba ili kuwafuta machozi mashabiki.

wewe hufatilii haya mambo minafatilia.
 
Back
Top Bottom