Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna ujinga mwingi sana, mbona msitumie hayo mapungufu kushinda game yenu?Kwa namna ambavyo Simba Sc tumeishika game, draw itakuwa ni matokeo ya kikatili sana.
Na tukiamua kuwa wakweli, hii team ya Yanga ina matatizo mengi sana, hata huko shirikisho haiwezi kutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😃😆😄Mayele kumbe yupo na watu hamsemi?
sasa hivi ana gain siku baada ya siku,sasa Kapombe anaenda kupata msaidizi aliye sahihi.Israh Mwenda nilikiwa nam underestimate kimakosa sana
Thubutuuu njoo weweYaani nyie ni useless kabisa....mmeshindwa kuifunga hii yanga nyepesi kabisa
WeeeeeeMpira utaisha kwa droo ya 1:1 lakini mmoja wao atasawazisha dakika za majeruhi
Yule dogo hapana, kashindikanasasa hivi ana gain siku baada ya siku,sasa Kapombe anaenda kupata msaidizi aliye sahihi.
mimi nalia na Kiungo Punda bado sijafurahia uchezaji wake.
Yani leo hata wao watakiri kwamba wamepelekewa motoo ni vile tuu wamepata ka kabahti ka faulo
Nije wapi tena mrembo tuenjoyThubutuuu njoo wewe
[emoji16][emoji16][emoji16]Refa anapuliza filimbi...Kuna Mchezaji mmoja wa yanga amejamba.
Red card.
Ya kikubwa ni kuwa mpira umeisha 1-1 tusitafute visingizioTubaki humo humo mkuu acha tuchamgamshane. Nipe ya kikubwa basi
Bado lakini hajaweza kusaidia mashambuliziYule dogo hapana, kashindikana
Wazee wa Yanga lazima watamuwekea vikao
Kwahiyo Simba hawakutaka ushindi mechi ya leo?Simba hakusema kama anatumia hii mechi kujipima kimataifa,bali Uto ndo walisema hivyo kupitia msemaji wao ndugu Ally Kamwe.
Na baada ya Yanga kutolewa kimataifa waliaminishwa na uongozi wao kwamba wanakuja kuwafunga Simba ili kuwafuta machozi mashabiki.
wewe hufatilii haya mambo minafatilia.
Nu nyinyi ndo mmebahatika kupata sare.Kwa hii sare waliyopata Simba mji hautakalika, Sare ya kufedhehesha kabisa.