FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Iliyopigwa bao mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele ni Simba IPI? au kuna wachezaji wapya mmesajiri?
Huyo mayele hivi mmechanjiwa nae? Mbona leo katoka tuu jasho?.halafu mnamuharibu bila nyie kujua yani mpk wenzake wanakos comfidence ya kufunga wanamsubiri yy shauri yenu. Hao hao wanawapeleke moto kama hawana akili nzuri,ukiacha ushabiki pembeni Simba imechezaa bana
 
Yanga walimpa Nabi hii mechi ya kuamua hatima yake kubaki au kusepa

Okrah alivyopiga mguu wa shingo dakika ya 14 tayari naskia kuna boda alionekana airport akiwa amebeba begi la Nabi

baada ya Azizi Ki kupata bahati, yule boda kaishaanza safari ya kurudi nalo Jangwani na kwa ripoti nilizozipata saizi anaitafuta Malapa

Mashabiki wa Yanga mnaopita njia hiyo mngejaribu kupungua barabarani ili kumuepushia foleni
Shika vizuri dela lako dada naona una sasambua
 
Kwahiyo Simba hawakutaka ushindi mechi ya leo?

Hivi akili zenu zipo nchonyoni?
Kila timu ilitaka ushindi hata Simba walitaka ushindi.Simba na Yanga wote wamepoteza points tatu,hapo wamegawana point moja moja.

baada ya Yanga kutolewa kimataifa walisema [emoji117]-wanakuja kumalizia hasira zao za kutolewa caf champions kwa kuwafunga Simba ili kuwafuta machozi mashabiki wao.
furaha yetu sisi Yanga ni kuifunga Simba.

[emoji115]hicho ndo alichosema Ally Kamwe

Yanga bado awajapata furaha wala kuwafuta machozi mashabiki wao.
 
Simba deffence na midfielder Heko..
Simba ongezeni striker na kiungo fast mwenye macho..
Mgunda ongea na stricking force yako ushirikiano.
Ukiondoa Chama , simba haina mtu uhakia wa kupiga assist ..

Hili ni hatari , siku Chama akiumia simba ita flop..
Okrah , Phiri ,Kyombo ni wakimbiaji sio wapiga pasi....
Laiti simba itakuwa na wachezeshaji , Chama ange enjoy sana...
Kama Nelson OKWA sio, basi uza haraka...
 
Back
Top Bottom