FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Okraaaaaa popote ulipo nakupenda 😋😋😋😋 umetusaidia ... 😍😍😍😍
 
Nimekaa nimenyoosha miguu hata siamini kama tumeshindwa kuongeza magoli mawili. Huyo Diara anafungika vzr mnooo
 
Mna ujinga mwingi sana, mbona msitumie hayo mapungufu kushinda game yenu?
Tuwaulize nyinyi mliojisifia kutawala mchezo wenu na Hilal licha ya kufungwa, kisha leo hamtaki kusikia hoja ya kutawala mchezo, hivi akili zimo kweli?

Kweli mental health ni serious issue kwenye hili taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Simnba ya sasa droo na utopolo ni big loooss tena a very big one
Siyo kama, kubalini tu MAKOLO ni wachumba tu mbele ya YANGA tangu 2019 mnajificha tu kwenye kichaka cha kujiita wa kimataifa ilihali mwisho wa safari yenu huwa unajulikana [emoji16]
 
Yanga walimpa Nabi hii mechi ya kuamua hatima yake kubaki au kusepa

Okrah alivyopiga mguu wa shingo dakika ya 14 tayari naskia kuna boda alionekana airport akiwa amebeba begi la Nabi

baada ya Azizi Ki kupata bahati, yule boda kaishaanza safari ya kurudi nalo Jangwani na kwa ripoti nilizozipata saizi anaitafuta Malapa

Mashabiki wa Yanga mnaopita njia hiyo mngejaribu kupungua barabarani ili kumuepushia foleni
 
Back
Top Bottom