FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Huyo mayele hivi mmechanjiwa nae? Mbona leo katoka tuu jasho?.halafu mnamuharibu bila nyie kujua yani mpk wenzake wanakos comfidence ya kufunga wanamsubiri yy shauri yenu. Hao hao wanawapeleke moto kama hawana akili nzuri,ukiacha ushabiki pembeni Simba imechezaa bana
Kipindi cha Kwanza MAKOLO alipaki basi, kipindi cha pili wameenda sawa, punguza mahaba we KOLOWIZARD [emoji13]
 
Nlichojifunza
Inatakiwa umuache dem wako AKOJOE akilidhika na wewe mwanaume ACHIA KOJO LAKO[emoji169]
Mimi nilichojifunza ndani ya huu mwezi wa kumi, na pengine nitaendelea kujifunza:-

Mwanamke hata umbeleeze na kumhudumia vitu vyote anavyotaka , bado atatoka tu nje kugongwa.

Swala la mimi kukogengewa mke na wa sudan ni swala linalotuumiza mpaka leo akili haijakaa sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi kawafunga msio mpenda
Aziz mwenye Key yake

1951b5a553ae4493b9a2f1f3caa3d6e9.jpg
 
Hilo shuti halijawai tokeaa Toka mfumo wa vyama vingi kuanzishwaa Hapa nchin
Halijawahi kutokea au we ndo huangaliagi mpira?

Kwenye mecho ya leo, shuti ambalo linaweza kuwa mjadala ni ile freekick ya Phiri

Kuna Camera kadhaa za Azam ziko down
 
Simba deffence na midfielder Heko..
Simba ongezeni striker na kiungo fast mwenye macho..
Mgunda ongea na stricking force yako ushirikiano.
Ukiondoa Chama , simba haina mtu uhakia wa kupiga assist ..

Hili ni hatari , siku Chama akiumia simba ita flop..
Okrah , Phiri ,Kyombo ni wakimbiaji sio wapiga pasi....
Laiti simba itakuwa na wachezeshaji , Chama ange enjoy sana...
Kama Nelson OKWA sio, basi uza haraka...
Okwa anasepa kumpisha Merquesone.
 
Siyo kama, kubalini tu MAKOLO ni wachumba tu mbele ya YANGA tangu 2019 mnajificha tu kwenye kichaka cha kujiita wa kimataifa ilihali mwisho wa safari yenu huwa unajulikana [emoji16]
Mwisho wa safari yetu unajulikana, ila nyinyi hata mwanza tu haujulikani hivi hauoni hata aibu?

Kweli mental health ni issue kubwa sana kwa hapa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom