FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Wewe kama unavaa dela usifikiri ni wote na ndio maana Club yenu ikaamua kuwaenzi kwa kuwaweka kwenye logo

Ushawahi ona wapi Club ya mpira wa miguu ya wanaume imeweka mademu wakiwa ya sare ya kihodoro kwenye nembo?
Achilia mbali swala la team yoyote dunia kutengenza jersey za madera, ambalo hujaamua kabisa kumuuliza[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema goli bora la mwaka NBC PL 2022 - 2023 we KOLOWIZARD, uwe na adabu, shuti limepimwa nyuzi 90 hadi Manura kavunja mbavu afu unaropoka ropoka tu hapa hala [emoji19]
Hebu nipishe hukoo UTONDUMBAZ hujawahi kuona magoli nini? Hayo ni marudio mwamba Okra alishachonga faulo moja matata sana hapo mbona karibu tuu.
 
Mbaya zaidi kawafunga msio mpenda
Katufunga au kachomoa?

Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana

Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23

Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"

Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?

Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?

Hizi ni akili za wapi?
 
Yanga aanze maandalizi wakati kishapiga Simba mechi tatu mfululizo. Tena leo mentality Yanga haikuwa vizuri, ila hii mechi leo imemjengea kujiamini.

Ndio mpira ulivyo kama leo upepo ulivyotoka kwa Sakho kuhamia kwa Okrah na kila game ina plan zake, kushine kwa mchezaji kunategemea kwa formation ya kocha ya siku hiyo.
 
Katufunga au kachomoa?

Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana

Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23

Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"

Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?

Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?

Hizi ni akili za wapi?
Angalia magoli ya leo halafu angalia namna ya ushangiliaji wa magoli ya leo,then rudi hata fuatilia namna ya comment ya washabiki wa timu hizi ndio utajua nani alikamia hii match kufuta uteja na nani aliichukulia match kama zingine tu

Nb:video aihusiani na nilichoelezea hapo juu
 
Attachments

  • VID-20221023-WA0006.mp4
    4.5 MB
Katufunga au kachomoa?

Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana

Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23

Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"

Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?

Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?

Hizi ni akili za wapi?

Hivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
 
Tuna safari ndefu kama taifa, mzamiru hawezi kuwa midfielder, hamna mchezaji mule, kwenye timu yangu hachezi hata adhikiri uchi.. Sijui kwanini tuna mdharau nelson OKWA yule jamaa ana sifa zote za namba 8.
misumari kaka alafu kiungo Punda anaushkaji wa kufa mtu na"Verone"
 
TUNA TOA DRAW NA LITIMU LINACHEZA SHIRIKISHO DAHH UTOPOLO NI UTOPOLO TU [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Ivi nani mwingine alimuona refaa anamwambia moloko acha ushamba cheza mpira ???
 
Back
Top Bottom