FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Achilia mbali swala la team yoyote dunia kutengenza jersey za madera, ambalo hujaamua kabisa kumuuliza[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijataka kumuuliza kwasababu msimu huu wamegundua kosa lao

Sometimes hawa wanahitaji kukosolewa vikali ili waweze kustiki kwenye njia

Kwani si miezi kadhaa imepita hapo tangu tumsikie mshabiki wa Yanga akisema ana wish awe mwanamke ili ampe utamu Mayele?

Wakati hatujapoa na hiyo habari, Manara juzi hapo alisema tumuite Ashura Bi cheupe, sasa fikiria huyo ni kiongozi kasema hivyo

Hali ikoje kwa mbugila wengine ambao hawsikiki?

Mpaka hapo ataona kuleta habari za madela ni kujitukana yeye mwenyewe.
 
Angalia magoli ya leo halafu angalia namna ya ushangiliaji wa magoli ya leo,then rudi hata fuatilia namna ya comment ya washabiki wa timu hizi ndio utajua nani alikamia hii match kufuta uteja na nani aliichukulia match kama zingine tu

Nb:video aihusiani na nilichoelezea hapo juu
Kama uchinjaji mbuzi ni ushirikina basi utakuwa unawakosea sana waumini wa dini ya kiislamu ambao wanaheshimu mfumo huo wa ibada
 
Kayoko.. Feisal alikuwa apate red card. Refa kazingua sana hapo.
 
Game plan ya Mgunda ilikua nzuri sana na imefanya kazi 95% changamoto ilikua uchoyo tu pale sehem ya mwisho, goli la kusawazisha la Yanga mipira ya set pieces kama ile hata huko duniani makipa bora wanaadhibiwa wakikutana na wapigaji mahiri kama alivyofanya Aziz Ki leo. Simba wampe mkataba wa uhakika Mgunda jamaa anajua na ball linatembea kweli!
 
Yanga aanze maandalizi wakati kishapiga mechi tatu mfululizo. Tena leo mentality Yanga haikuwa vizuri, ila hii mechi leo imemjengea kujiamini.

Ndio mpira ulivyo kama leo upepo ulivyotoka kwa Sakho kuhamia kwa Okrah na kila game ina plan zake, kushine kwa mchezaji kunategemea kwa formation ya kocha ya siku hiyo.
Imemjengea kujiamini wakati hii ni mechi yake ambayo ilikuwa juu kabisa kwenye list ya vipaumbele vya Club kwa mwaka?

Hapa wenzetu washafunga kurasa, kilichobaki hapo kitamalizwa na Ahmedy Arajiga
 
Game plan ya Mgunda ilikua nzuri sana na imefanya kazi 95% changamoto ilikua uchoyo tu pale sehem ya mwisho, goli la kusawazisha la Yanga mipira ya set pieces kama ile hata huko duniani makipa bora wanaadhibiwa wakikutana na wapigaji mahiri kama alivyofanya Aziz Ki leo. Simba wampe mkataba wa uhakika Mgunda jamaa anajua na ball linatembea kweli!
Mleteee Mgundaa. Yanga wametepeetaaa
 
Game plan ya Mgunda ilikua nzuri sana na imefanya kazi 95% changamoto ilikua uchoyo tu pale sehem ya mwisho, goli la kusawazisha la Yanga mipira ya set pieces kama ile hata huko duniani makipa bora wanaadhibiwa wakikutana na wapigaji mahiri kama alivyofanya Aziz Ki leo. Simba wampe mkataba wa uhakika Mgunda jamaa anajua na ball linatembea kweli!
ball itatembea kote sio kwa yanga
 
Imemjengea kujiamini wakati hii ni mechi yake ambayo ilikuwa juu kabisa kwenye list ya vipaumbele vya Club kwa mwaka?

Hapa wenzetu washafunga kurasa, kilichobaki hapo kitamalizwa na Ahmedy Arajiga
Vipambele kwa kitu ambacho ushakirudia rudia mara tatu, kipaumbele tumeweka kwa vitu ambavyo hatuja vifikia siku nyingi.Ila Simba hata tukipige tena hunifungi utishia kushangilia sare.
 
Katufunga au kachomoa?

Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana

Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23

Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"

Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?

Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?

Hizi ni akili za wapi?
Waelezee yani ooho tutawalipiza kipigo cha alhilal kweli waliikamia droo yao wenyewee
 
Vipambele kwa kitu ambacho ushakirudia rudia mara tatu, kipaumbele tumeweka kwa vitu ambavyo hatuja vifikia siku nyingi.Ila Simba hata tukipige tena hunifungi utishia kushangilia sare.
Kurudia mara nyingi ndio furaha yenu hilo mbona liko wazi na juxi tu hapo Ally Kamwe amekiri

Hapo katika mahesabu yenu mmebakiza mechi moja ya marudiani

Ikitokea tumekutana FA huo utakuwa ni mkakati mpya ulioingilia Ratiba, thats why kwenye zile 4-1 tulixoeafunga zilitokana na unexpected schedule ambayo hamkutegemea

Mlikuwq na uwezo wa kutoa sare au kushinda ile mechi, ila kwasababu ratiba ya FA haitabiriki mkashindwa kuliweka hilo kwenye malengo ya Club
 
Back
Top Bottom