FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Kyombo ana goli
Mmekaririi[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie muoneni huyu
JamiiForums-1049870428.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mimi wewe kuku wangu sihitaji hata manati na kufungulia mlango unaingia mwenyewe.
Kuku nae atakudharau kuna siku atakunyea machoni kama ww ndo mwenye banda huna maarifa ya kumkamata basi tegemea kuna siku atakukimbiza mpk uzirai. Hapa naamanisha kuku kama labda ihefu hivi,mtibwa hao ndo kuku wenu kuna siku watawanyea
 
Wewe ushindi wao ni droo tu kwa sasa.
 
Ila mkubali mkatae hii mechi imewaweka waziii kwa wapinzani wenu huko kimataifani aisee. Simba itaendelea kuogopewa huko na kina Alhaily
 
Kuna mashabiki apa wanaongea eti juma mgunda ni nuksi kwao tangu yupo coastal
 
Eti hoodoo "mechi hii sio focus yetu........",wakati katika mechi tatu mlizompangia Mgunda ashinde ili mumpe mkataba hii ya Yanga ipo. Sasa sijui mtampa au mtaleta ushamba wa kijinji kujisifia kupiga picha na mzungu, wakati Mgunda kaperform vizuri.
 
Tuna safari ndefu kama taifa, mzamiru hawezi kuwa midfielder, hamna mchezaji mule, kwenye timu yangu hachezi hata adhikiri uchi.. Sijui kwanini tuna mdharau nelson OKWA yule jamaa ana sifa zote za namba 8.
Fitina mkuu kumbe umeliona hill,Luna jambo
 
Sema kimeumanaaaaaa.....kimeumanaaaaa
Wazee wa drooo
 
Ila mkubali mkatae hii mechi imewaweka waziii kwa wapinzani wenu huko kimataifani aisee. Simba itaendelea kuogopewa huko na kina Alhaily
Alhaily ndio nini, bishanaga na wanawake wenzio huko saluni wewe mweupe kwenye soka hujui lolote.
 
Alhaily ndio nini, bishanaga na wanawake wenzio huko saluni wewe mweupe kwenye soka hujui lolote.
Hebu achana na mm aisee utapoteza muda wako bureee. Sio kwamba sijui kuandika nimeamua tuu. Kwani unateseka ukiwa wapi? Nijue mpira kwani mimi kocha? Mimi nipo kuwakeraaaaaa tuu.

Uzuri JF ni jukwaa huru kaka yangu. Halafu mbona kama nimepatia mkuu hilo jina usikute ww ndo hujui au unadhani namaanisha Alhilal?

Au unataka wote tubishane kuhusu mbususu? Kuwa mshabiki sio dhambi na kupenda kitu sio dhambi iwe najua au sijui.
 
Back
Top Bottom