FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Zaidi ya ile faulo kuna lingine? Leta takwimu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG-20221023-WA0024.jpg
 
Okrah amempatia mnyama goli, kisha akapambana kumnyima ushindi.

Sakho naye utoto mwingi, ana makeke mengi yasiyo na faida kwa timu.

Yote katika yote, Mgunda ni bonge la kocha.
images%20-%202022-10-23T205541.751.jpg
 
Attachments

  • images%20-%202022-10-23T205358.237.jpg
    images%20-%202022-10-23T205358.237.jpg
    24.9 KB · Views: 2
SHOOTS ON TARGET
YANGA 6 - 2 SIMBA

SHOOTS OFF TARGET
YANGA 5 - 7 SIMBA

FOULS
YANGA 18 - 20 SIMBA

OFFSIDE
YANGA 3 - 2 SIMBA

CORNER KICKS
YANGA 4 - 5 SIMBA

POSSESSION
YANGA 47% - 53% SIMBA
 
Okra angeweka mbele matokeo ya timu badala ya matokeo binafsi, hizi takwimu zisingekuwa hivi mwishoni mwa mchezo.
Halikadhalika Sakho angeweka pembeni utoto.
 
Awa jamaa wakipataga sare wanasumbua Kwa Makelele yasiyo na Sababu. Yaani wanafuraha kupita kiasi.
 
Ukiona ally kamwe kaandika gazeti insta kusifia aziz na amesema sana kuisifia timu yake .Tunaona wana utopolo wamepost sana status zao wakishangilia sare hii.

Hata hivyo si ajabu maana wameponea chupu chupu pamoja na kuingia kwao wamenyanyua mabega.

Simba ni dude kuubwa,ukilipiga ni lazima ujisifu.
 
Alie shangilia sare ni yupi kama sie alievua nguo?
 
Ukiona ally kamwe kaandika gazeti insta kusifia aziz na amesema sana kuisifia timu yake .Tunaona wana utopolo wamepost sana status zao wakishangilia sare hii.

Hata hivyo si ajabu maana wameponea chupu chupu pamoja na kuingia kwao wamenyanyua mabega.

Simba ni dude kuubwa,ukilipiga ni lazima ujisifu.
KAMA INAUMA CHOMOA...
 
Hatuna uwezo au focus yetu ni tofauti na nyie?

Sisi tukisema tuweke mikakati ya kuhakikisha Yanga tunamfunga, basi tukikutana inakuwa ni kimbari au Ukraine

Mnaspend mwaka mzima kwa aji ya kutafuta ushindi wa 1-0 ndio nini sasa?
KAMA INAUMA CHOMOOAAAAA
 
Nilikuwa maji sana tangu goli letu lilivyoingia ndio naamka sasa hivi.

Ila kama haya yangekuwa mashindano ya CAF simba tayari tungekuwa na goli la ugenini.
 
Back
Top Bottom