FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Duh mara ya mwisho Makolo kuifunga Yanga Raisi alikuwa Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa Makonda
Kama ilivyo mara ya mwisho yanga kuingia makundi kuna mtu kazaliwa kasoma hadi kamaliza degree na kapata ajira ya ualimu, masikini yeye na wanafunzi wake wanadhani labda yanga alifungiwa mashindano ya kimataifa.
 
Hongera kwa mabeki wa timu zote mbili. Kazi mliifanya haswaa, itoshe kusema kuwa mlizitendea vizuri sana nafasi zenu.

Kalpana
 
Ukiona ally kamwe kaandika gazeti insta kusifia aziz na amesema sana kuisifia timu yake .Tunaona wana utopolo wamepost sana status zao wakishangilia sare hii.

Hata hivyo si ajabu maana wameponea chupu chupu pamoja na kuingia kwao wamenyanyua mabega.

Simba ni dude kuubwa,ukilipiga ni lazima ujisifu.
"Wakiwa vizuri wanaambulia draw, tukiwa vizuri tunashinda" - Ally Kamwe
 
Duh mara ya mwisho Makolo kuifunga Yanga Raisi alikuwa Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa Makonda
Acha uongo wewe!!

Nyie watu hata ule msemo wa yule mmoja mwenye akili wa Klabu yenu, Kikwete umeshindwa kuutumia? Alisema "jambo la kuambiwa changanya na akili za kwako" Pale Kigoma Mwaka 2021 tulipowafunga moja bila kwenye Fainali ya Azam Confederation Cup halikuwa goli lile?
 
1666602519047.png

1666602545975.png
 
Team ndogo inakuongoza ligi, ipo CAFCL (wewe umetoka), umeshindwa kutufunga umesawazisha mwishoni, inakuwaje team ndogo, we una akili kweli wewe?[emoji23]
Kumbe siku hizi mnafurahia kuongoza ligi [emoji23][emoji23] mlikua mmemiskupumuliwa nyuma
 
Acha uongo wewe!!

Nyie watu hata ule msemo wa yule mmoja mwenye akili wa Klabu yenu, Kikwete umeshindwa kuutumia? Alisema "jambo la kuambiwa changanya na akili za kwako" Pale Kigoma Mwaka 2021 tulipowafunga moja bila kwenye Fainali ya Azam Confederation Cup halikuwa goli lile?
 
Attachments

  • Screenshot_20221020-205436_Instagram.jpg
    Screenshot_20221020-205436_Instagram.jpg
    154.6 KB · Views: 3
Ingekuwa kufika ni ubingwa sawa
Fungua akili acha kujibana. Mpira ni pesa sasa huoni hatua ya kufika makundi tu unachota mihela na pia thamani ya wachezaji inaongezeka?

Kuna timu malengo yao ni kufika makundi tu maana wanajua thamani yake sio wewe uliyekaa tu hapo huelewi thamani ya uwekezaji.
 
Kwahyo hapo wewe ndo umefungua akili zako zote?
 
Back
Top Bottom