FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Sema na wao wale walikua wanatuogopa kinyama wakasema ohooo ohooo tutapigwa hapa ingekua ndumba tusingetoboa kufika mbali kote kule
aliye ashibiwa na caf kisa ndumba ni nani
 
Kurudia mara nyingi ndio furaha yenu hilo mbona liko wazi na juxi tu hapo Ally Kamwe amekiri

Hapo katika mahesabu yenu mmebakiza mechi moja ya marudiani

Ikitokea tumekutana FA huo utakuwa ni mkakati mpya ulioingilia Ratiba, thats why kwenye zile 4-1 tulixoeafunga zilitokana na unexpected schedule ambayo hamkutegemea

Mlikuwq na uwezo wa kutoa sare au kushinda ile mechi, ila kwasababu ratiba ya FA haitabiriki mkashindwa kuliweka hilo kwenye malengo ya Club
Furaha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?

Kweni mwaka nusu fainali FA mwaka huu Yanga alicheza na nani? au ratiba ya FA ilitabirika?

Nyie hii mechi si mmemwambia Mgunda akishinda mnampa Mkataba au sio nyie?
 
Furaha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?

Kweni mwaka nusu fainali FA mwaka huu Yanga alicheza na nani?
Kigoli cha kuotea? Nilimsikiliza juzi Fei toto anasema alimuotea Kipa amejisahau maana alijua hawezi tegemea atapiga mbali kule. Mimi nataka kama kweli mnaiweza Simba vzr anzeni goli 3 kwenda mbele na hakikisha Simba hajawafunga hata moja yani iwe 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na kuendelea ila mojaa
 
Furaha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?

Kweni mwaka nusu fainali FA mwaka huu Yanga alicheza na nani? au ratiba ya FA ilitabirika?
Hatuna uwezo au focus yetu ni tofauti na nyie?

Sisi tukisema tuweke mikakati ya kuhakikisha Yanga tunamfunga, basi tukikutana inakuwa ni kimbari au Ukraine

Mnaspend mwaka mzima kwa aji ya kutafuta ushindi wa 1-0 ndio nini sasa?
 
Kigoli cha kuotea? Nilimsikiliza juzi Fei toto anasema alimuotea Kipa amejisahau maana alijua hawezi tegemea atapiga mbali kule. Mimi nataka kama kweli mnaiweza Simba vzr anzeni goli 3 kwenda mbele na hakikisha Simba hajawafunga hata moja yani iwe 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na kuendelea ila mojaa
Dada mpira haujui kaoshe viombo sisi tunadicuss technically wewe unazani mpira mdako.

Kupigwa kupigwa dada yangu,wewe umenipiga 4 mechi moja mara moja mimi nimekupiga mara tatu mfululizo.

Hivi unakumbuka mara ya mwisho kumfunga Yanga kwenye NBC premier league ilikuwa lini?
 
Wewe kama unavaa dela usifikiri ni wote na ndio maana Club yenu ikaamua kuwaenzi kwa kuwaweka kwenye logo

Ushawahi ona wapi Club ya mpira wa miguu ya wanaume imeweka mademu wakiwa ya sare ya kigodoro kwenye nembo?
Sawa dada
 
Dada mpira haujui kaoshe viombo sisi tunadicuss technically wewe unazani mpira mdako.

Kupigwa kupigwa dada yangu,wewe umenipiga 4 mechi moja mara moja mimi nimekupiga mara tatu mfululizo.

Hivi unakumbuka mara ya mwisho kumfunga Yanga kwenye NBC premier league ilikuwa lini?
Yani nbc bora uongee vingine ila sio nbc kaka. Huku tupo tuu kuwakeraaa huo ufundi peleka veta
 
Hatuna uwezo au focus yetu ni tofauti na nyie?

Sisi tukisema tuweke mikakati ya kuhakikisha Yanga tunamfunga, basi tukikutana inakuwa ni kimbari au Ukraine

Mnaspend mwaka mzima kwa aji ya kutafuta ushindi wa 1-0 ndio nini sasa?
Focus ingekuwa si mechi hii kwa nini mmwambia Mgunda akitaka kumpa mkataba ashinde mechi tatu moja wapo ikiwa hii au unazani hatujui.

Nisipendi kwaka mzima kwa demu niliye mgonga Mara tatu mfululizo.

Ila vip Mgunda mtampa mkataba au bado mnamsikilizia.
 
Back
Top Bottom