FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Tuna safari ndefu kama taifa, mzamiru hawezi kuwa midfielder, hamna mchezaji mule, kwenye timu yangu hachezi hata adhikiri uchi.. Sijui kwanini tuna mdharau nelson OKWA yule jamaa ana sifa zote za namba 8.
 
Sasa usituchagulie wapi tumwagilie mioyo yetu maana timu yetu kuna sehemu tunapata rahaaa..Huku tumeudhunika ila tukiangalia Africani huko tumakenuua ndo raha ya kua na timu kubwaaa
Aya bana mwagilia moyooooo
 
Back
Top Bottom