Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikatokea nini?Wewe umeangalia mpira gani? Basi tu mpira una matokeo ya kikatili ila ilifkiwa tushinde kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hakusema kama anatumia hii mechi kujipima kimataifa,bali Uto ndo walisema hivyo kupitia msemaji wao ndugu Ally Kamwe.Wewe ni mjinga ina maana simba alikuwa hazitaki hizi point 3?
Mawazo ya kitoto kabisa hayaHawa wanga sana aisee kila mechi na Simba wanaenda kutoa misaada mbona kwny kimataifa hawaendi kutoa?
Tubaki humo humo mkuu acha tuchamgamshane. Nipe ya kikubwa basiMawazo ya kitoto kabisa haya
Kabisa yaani. Yanga ni wepesi mnooHiii mechi ilikua yetu jamani ni wapa hawa wanatulogea twende na sisi?.
Mawazo ya kitoto kabisa hayaHawa wanga sana aisee kila mechi na Simba wanaenda kutoa misaada mbona kwny kimataifa hawaendi kutoa?