Kabisa yaani.Tukipiga tumepiga na tukipigwa ni tumepiga tuu hadi waombe msamaha
Magoli ya Jobe yale.Ila nao hawa majamaa wanakosa mabao ya kizembe.
Sehemu kama hizi Saido alikuwa hakukosi
aanze kuzoea hiyo haliDiaara haelewi kabisa nini kinaendelea yani!!
Bora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! ππBonanza?
Simba inaingiaje hapa. Angalia mpira.Bora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! ππ
isije ikawa ni Luku yako, mbona juzi tumewasha mtambo namba 7 ?Tanesco wasee aisee,wamekataaa
Ndiiio ndiiiooo.
Weka hata picha tu, unless ufiche Utopolo wakoBora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! ππ
Mwenyeweee!***** uto ametepeta
Moto mkali.aanze kuzoea hiyo hali
Picha ya game ya Yanga au bonanza za simba??Weka hata picha tu, unless ufiche Utopolo wako
Hahahaha kwani mimi ndiyo nawapelekea moto au?Mwenyeweee!
Kukariri misemo!Aisee ligi ianze bwana, Kuna jirani zangu hapa washaanza kunenepa.
Huoni wenge la Uto?
πBora bonanza wanashirik Yanga iko open, ila simba mnajificha fichaaa mnapigwa goli 6-2 mnagugumia kimya kimya!! ππ